Diamond Platnumz, a prominent figure in the African music scene, has once again blessed fans with a hit single titled Holiday. Released on December 10, 2024, the song is a vibrant mix of genres, including Amapiano, Bongo Flava, Afropop, Afrobeat, and Zouk. With energetic beats, catchy rhythms, and memorable lyrics, Holiday is destined to become an anthem for celebration.
In this article, we take a closer look at the lyrics of Holiday, highlighting the essence of this fun and carefree tune that has captured the hearts of fans worldwide. So, letโs dive into the lyrics and explore the vibe of Holiday.
“Holiday” Lyrics by Diamond Platnumz
๐ถ Wetin na do today ๐ค
Wapi zinachomwa crate ๐ป
Wetin na do today ๐ค
Wapi tuna celebrate ๐
Wetin na do today ๐ค
Wapi zinachomwa crate ๐ป
Wetin na do today ๐ค
Wapi tuna celebrate ๐
Kwanza bwana asifiwe, hallelujah ๐
Tulouona mwaka, happy new year ๐
Kula pombe mpaka upande juu yaa ๐บ
Meza ucheze chezea juu ๐
Leta misosi jiachie kula ๐ฝ๏ธ
Maisha yenyewe vuvula ๐ฌ๏ธ
Wanga ni wengi wakuchura ๐
Na hatuijui kesho โณ
Itโs a hoooooo holiday ๐
Yani hooooooo holiday ๐
Itโs a hoooooo holiday ๐
Yani hooooooo holiday ๐
Holiday ๐๏ธ
Hoo hoo holiday ๐๏ธ
Hoo hoo holiday ๐๏ธ
Hata nkisema n’jichange sijui mwaka gani ntajenga hicho kibanda ๐๏ธ
Mwisho nije kufa bora n’jipe raha kuliko kuzichanga ๐
Na mapenzi mtanange hayanaga fadhila ๐
Hata uwe umejipanga ๐
We unagharamikia na Kuna baharia anakula Bure mwamba ๐ด
Ooh yaani, mauzauza eeeh ๐
Mauzauza ooh ๐ช๏ธ
Mauzauza mapenzi mauzauza eeeh ๐
Mauzauza ooh ๐ช๏ธ
Mauzauza eeeh eeh eh ๐
Mauzauza mapenzi mauzauza ๐
Kwanza bwana asifiwe, hallelujah ๐
Tulouona mwaka, happy new year ๐
Kula pombe mpaka upande juu yaa ๐บ
Meza ucheze chezea juu ๐
Leta misosi jiachie kula ๐ฝ๏ธ
Maisha yenyewe vuvula ๐ฌ๏ธ
Wanga ni wengi wakuchura ๐
Na hatuijui kesho โณ
Itโs a hoooooo holiday ๐
Yani hooooooo holiday ๐
Itโs a hoooooo holiday ๐
Yani hooooooo holiday ๐
Holiday ๐๏ธ
Hoo hoo holiday ๐๏ธ
Hoo hoo holiday ๐๏ธ
Huyu zombie jama zombie ๐งโโ๏ธ
Zombi ana karaha โ ๏ธ
Zombie ana sifa ๐
Zombie ana balaa ๐ฅ
Huyu zombie jama zombie (we zombie) ๐งโโ๏ธ
Zombi ana karaha โ ๏ธ
Zombie ana sifa ๐
Zombie ana balaa ๐ฅ
Huyu zombie nyie zombie maama ๐งโโ๏ธ
Huyu mwana ana balaa ๐ฅ
Kazombie kana sifa ๐
Zombie ana balaa ๐ฅ
Huyu zombie jama zombie (we zombie) ๐งโโ๏ธ
Zombi ana karaha โ ๏ธ
Zombie ana sifa ๐
Zombie ana balaa ๐ฅ
Holiday by Diamond Platnumz is more than just a song, itโs an expression of joy, celebration, and living life to the fullest. With its infectious rhythm, the track is perfect for the holiday season or any occasion that calls for fun and freedom. The lyrics emphasize the importance of enjoying life, having fun with friends, and letting go of worries. Whether youโre partying, reflecting on the past year, or simply enjoying the present, Holiday is the soundtrack to your celebration!